Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2018

Leo tu

Mimi ndio dj malo Tz twende sawa sasa uweze kujua nini hatima ya maisha ya watu wenye mapenzi mema na nchi yao

Shukrani kwa Mungu na watu wote mnaonifuatilia. Kabla ya yote naanza na kumshukuru Mungu kwa ajili kukufikisha katika blog hii,huenda isingekuwa wewe nisingekuwa na haja ya kufanya uweze kupata blog hii rasmi naanza au nimeanza kuitumia 11/04/2018 kwa lengo la kukufikisha kile ninachoamini kitakusaidia hata kama nikibaya kwako ila ni kizuri kwa mwingine... Huu ni utangulizi tu. Kaeni tayari Asante.