Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Leo tu

Machapisho ya hivi karibuni

Mimi ndio dj malo Tz twende sawa sasa uweze kujua nini hatima ya maisha ya watu wenye mapenzi mema na nchi yao

Shukrani kwa Mungu na watu wote mnaonifuatilia. Kabla ya yote naanza na kumshukuru Mungu kwa ajili kukufikisha katika blog hii,huenda isingekuwa wewe nisingekuwa na haja ya kufanya uweze kupata blog hii rasmi naanza au nimeanza kuitumia 11/04/2018 kwa lengo la kukufikisha kile ninachoamini kitakusaidia hata kama nikibaya kwako ila ni kizuri kwa mwingine... Huu ni utangulizi tu. Kaeni tayari Asante.

Kwa mtazamo wako tu

Je !unadhani kati ya mwanamke na msichana ambao wote wana umri sawa ni yupi atakuwa na nguvu zaidi ya mwenzake kuwa mkweli ili tujue je   ni kweli???na in yupi ? Toa sababu.